Mifumo hii inatumika kwa Microsoft Excel na inachukua wanafunzi hadi 600 kwa darasa moja. Mfumo huu unachukua kidato cha kwanza hadi cha nne kwa wakati mmoja. Jaza tu majina, jinsi na maksi za wanafunzi.
Kuanza kuitumia, fungua kwenye Microsoft Excel
TUMIA PASSWORD HII:jihudumieschool kama itahitajika
0 Comments
Post a Comment