Job Overview

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/10/2024 hadi 16/11/2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.







Get hired here Related Vacancies
Back to Homepage